Hakiki
duka la dawa

Chagua Mahali

Au Ingiza Jina la Duka la DawaFaida
za
Kuhakiki

 

Tambua Usajili wa Duka la Dawa

Angalia uhalali na usajili wa duka la dawa.


Pata Vigezo vya Muuzaji

Jua kama muuzaji ana vigezo sahihi kutoa huduma ya dawa.


Jua Eneo Halali la Duka la Dawa

Jua sahihi wa mahali ya duka la dawa lilipo.

Sababu
za
Kuripoti

 

Dawa Hatarishi

Ripoti mhudumu au duka la dawa linalo toa dawa bila maelezo ya daktari.


Mashaka na Muuzaji

Toa ripoti ukiwa na wasiwasi na vitendo visivyo halali.Simu ya Mkononi

 

SMS

Tuma "PC" kwenda 0677045957 kwa SMS kuhakiki au kuripoti duka la dawa kwa kutumia simu ya mkononi.


WhatsApp

Tuma "PC" kwenda 0677045957 kupitia WhatsApp kuhakiki au kuripoti duka la dawa kwa kutumia simu ya mkononi.


Facebook

Tembelea kurasa yetu ya Facebook "www.facecbook.com/pc" na tuma ujumbe kuhakiki na kuripoti duka la dawa kupitia simy yako.